Ajali Kibaha zaua Watu Watatu, Basi la Modern Coach Lapinduka - Karafuu24 Blog

Breaking

Sunday, 5 August 2018

Ajali Kibaha zaua Watu Watatu, Basi la Modern Coach LapindukaKIBAHA, PWANI: Watu 3 wamefariki dunia, wawili kati yao katika ajali ya basi la Modern Coach lililoacha njia na kupinduka na mwingine akiwa ni dereva wa bodadaboda aliyegongana na basi la ABC
-
Ajali ya basi la Modern Coach imeacha maheruhi 8 huku dereva wa basi hilo akikimbilia kusikojulikana.
-
Ajali hizo zimetokea usiku wa kuamkia leo. Waliofariki ni Aliakimu Mkiganda, Emmanuel Indimuli na Iddi Bakari(Dereva wa Bodaboda) na miili yao imehifadhiwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili(MNH)
-
Waliojeruhiwa ni Penina Wango, Aliasgher Morbiwalia, Adrian Flovick, Mohamed Idris, Mita Naidhukum, Adrin Maula, Erick Muthon, na Hemik Muthon (49) wote raia wa Kenya

No comments:

Post a Comment