ZOLA AUNGANA NA MZEE WA FEGI KUONGEZA NGUVU CHELSEA - Karafuu24 Blog

Breaking

Saturday, 21 July 2018

ZOLA AUNGANA NA MZEE WA FEGI KUONGEZA NGUVU CHELSEA


Nguli wa Chelsea, Gianfranco Zola hatimaye amerejea kwenye kazi ya ukocha ambapo sasa atakuwa msaidizi wa Maurizio Sarri katika kikosi hicho cha Chelsea.

Zola, ambaye aliichezea timu hiyo kwa miaka saba na kufunga mabao 69 kati ya mwaka 1996 hadi 2003, amesha-anza majukumu na wakati akikaribishwa na klabu hiyo yalitumika maneno ‘Karibu Nyumbani Gianfranco Zola’.

Wawili hao wamepewa nafasi hiyo baada ya Antonio Conte kutimuliwa kazi Ijumaa iliyopita.

No comments:

Post a Comment