WAKATI DIRISHA LA USAJILI LIKIFUNGWA KESHO, HIZI HAPA KLABU ZILIZOKAMILISHA USAJILI WAKE MPAKA SASA - Karafuu24 Blog

Breaking

Wednesday, 25 July 2018

WAKATI DIRISHA LA USAJILI LIKIFUNGWA KESHO, HIZI HAPA KLABU ZILIZOKAMILISHA USAJILI WAKE MPAKA SASA


Dirisha la usajili kwa klabu za Ligi Kuu,Daraja la Kwanza na Daraja la Pili linataraji kufungwa kesho Julai 26,2018.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) linasisitiza hakutakuwa na muda wa ziada wa usajili.

Timu ambazo hajisajili katika mfumo wa TFF FIFA Connect mpaka sasa;
Ligi Kuu:
1. African Lyon
2. KMC
3. Mwadui
4. Mtibwa Sugar

FDL: 
1. AFC
2. Ashanti United
3. Arusha United (JKT Oljoro)
4. Kiluvya United
5. Majimaji
6. Mashujaa
7. Geita Gold (Mshikamano)

SDL:
1. Changanyikeni
2. Cosmopolitani
3. Kilimanjaro Heroes
4. Kitayosa
5. Madini
6. Mirambo
7. Mvuvumwa
8. Forest (Polisi Dar)
9. Villa Squad
10. Gipco 
11.Majimaji Rangers
12. Kumuyange
13. Kasulu Red Star

No comments:

Post a Comment