Wachezaji wa Liverpool wapasha misuli mbele ya ndege ya kijeshi ya Marekani (+Picha) - Karafuu24 Blog

Breaking

Wednesday, 25 July 2018

Wachezaji wa Liverpool wapasha misuli mbele ya ndege ya kijeshi ya Marekani (+Picha)

Wachezaji wa klabu ya Liverpool, Adam Lallana, James Milner na Andrew Robertson wamepiga picha wakiwa wanapasha misuli kwa kuuchezea mpira mbele ya ndege ya ndege ya kijeshi ya Marekani baada ya ndege waliyotakiwa kuondoka nayo kuchelewa kufika.
Nyota hao wametumia fursa ya kuchelewa kwa ndege iliyopaswa kuwapeleka New Jersey kwaajili ya kuungana na wenzao na hivyo kufanya mazoezi mepesi kwenye uwanja huo wa ndege wa kimataifa wa Charlotte Douglas.
James Milner, Andy Robertson na Adam Lallana wakipasha misuli wakati ndege yao ilipo chelewa kuwachukua 

No comments:

Post a Comment