Vinara 10 wanaowania Mchezaji bora wa Dunia 2018 ni hawa - Karafuu24 Blog

Breaking

Wednesday, 25 July 2018

Vinara 10 wanaowania Mchezaji bora wa Dunia 2018 ni hawa


Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetangaza majina 10 ya wachezaji wa kiume wanaowania tuzo ya FIFA ya mchezaji bora wa kiume wa mwaka 2017/18.

Kitu cha kushangaza kwenye orodha hiyo jina la Neymar na Pogba ambao mwaka jana waliingia kwenye orodha hiyo mwaka huu hawajafanikiwa kuingia.

🇵🇹 Cristiano Ronaldo (Juventus)
🇧🇪 Kevin De Bruyne (Man City)
🇫🇷 Antoine Griezmann (Atletico Madrid)
🇧🇪 Eden Hazard (Chelsea)
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧 Harry Kane (Spurs)
🇫🇷 Kylian Mbappe (PSG)
🇦🇷 Lionel Messi (Barcelona)
🇭🇷 Luka Modric (Real Madrid)
🇪🇬 Mohamed Salah (Liverpool)
🇫🇷 Raphael Varane (Real Madrid).

Majina haya yamechujwa kuanzia tarehe 3 Julai 2017 hadi Julai 15, 2018 ambapo tuzo hiyo zitatolewa Septemba 24, 2018 jijini London nchini Uingereza.

No comments:

Post a Comment