Vanessa Mdee Afunguka Show yake ya Arusha Kupigwa Vita..Haamini Kama Imefanyika - Karafuu24 Blog

Breaking

Sunday, 29 July 2018

Vanessa Mdee Afunguka Show yake ya Arusha Kupigwa Vita..Haamini Kama ImefanyikaFrom @vanessamdee - Nipo hapa leo sababu ya kumtumaini Mungu na kumuamini yeye tu. Maana hii show ya Arusha ndugu zangu ilikuwa inapigwa vita zaidi ya kawaida. Nikisema kwamba asubuhi ya kuamkia jana yaani siku ya show nilishajianda kurudi Dar sababu mambo yalikwamaaaaa, would you believe me? Lakini Mungu ana malaika wake wanawapigania wanyonge. Let me start by thanking my hometown ARUSHA

No comments:

Post a Comment