Steve Nyerere, Shamsa Ford, Wolper na mastaa kibao watoa ya moyoni kuhusu uteuzi wa DC Jokate Mwegelo - Karafuu24 Blog

Breaking

Sunday, 29 July 2018

Steve Nyerere, Shamsa Ford, Wolper na mastaa kibao watoa ya moyoni kuhusu uteuzi wa DC Jokate Mwegelo

Jana Julai 28, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alimteua Mwanamitindo Jokate Mwegelo kuwa mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani na kufuatia tukio hilo mastaa kibao wakiwemo watangazaji na waigizaji wa filamu wametoa pongezi zao.

Jokate Mwegelo
Mastaa wa filamu kama Shamsa Ford, Irene Uwoya, Faiza Ally, Zamaradi Mketema na Steve Nyerere kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii wametoa pongezi kwa kila mmoja kwa kuandika.

stevenyerere2-Najua unaweza na najua utasimama kidete kuhakikisha wana kisarawe wanasonga,Wajinga wataongea mengi sanaaa wewe akili yako weka kwa wana kisarawe kwanza ,Nichukue nafasi hii kumpongeza RAIS wangu MAGUFURI kwa kuhakikisha vijana wanakuwa mstari wa mbele kwa TAIFA na naamini unaweza kafanye kazi sasa @joketi_mwegelo
wolperstylishHongera my bby πŸ’•πŸ’•πŸ’―
zamaradimketemaHongera sana Muheshimiwa, very proud of you mamaa… safari ndio imeanza, nakutabiria makubwa zaidi mbeleni INSHA’ALLAH!! MUNGU akuongoze @jokatemwegelo
hamisamobettoMwanamke πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½ Hongera sana @jokatemwegelo you trully deserve this … M/Mungu Akuongoze Na Uwe Kiongozi Bora kabisaπŸ™ŒπŸ½
Such a great role model ayye
Wengine ni Idris Sultan ambaye yeye aliandika jina moja la Pele na kuweka picha ya Jokate huku MC Pilipili akiandika “Dondosha NENO 1 tu kumpongeza MH MKUU WA WILAYA @jokatemwegelo hapa!

No comments:

Post a Comment