SINGIDA YANYOOSHA MIKONO KWA FEI TOTO, YASEMA NI RUHUSA YA MLEZI WAO MWIGULU - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 23 July 2018

SINGIDA YANYOOSHA MIKONO KWA FEI TOTO, YASEMA NI RUHUSA YA MLEZI WAO MWIGULU


Uongozi wa klabu ya Singida United, umekubali kumuacha kiungo Fei Toto kujiunga na Yanga.

Uamuzi wa Singida United unatokana na taarifa kuwa, Fei Toto amepewa ruhusa ya kujiunga na Yanga baada ya ruhusa aliyopewa na mlezi wa Singida United, Mwigulu Nchemba.No comments:

Post a Comment