Jezi namba 10 ndani ya Liverpool imewahi kuvaliwa na wachezaji kama, John Barnes, Joe Cole, Luis Garcia, Michael Owen na Andriy Voronin.

Mane na Salah walikuwa kwenye michuano ya kombe la dunia ambapo waliwakilisha mataifa yao.