Rais Magufuli ateua Mkurugenzi wa PSSSF - Karafuu24 Blog

Breaking

Sunday, 22 July 2018

Rais Magufuli ateua Mkurugenzi wa PSSSF


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Eliud Sanga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (Public Service Social Security Fund – PSSSF).


Kabla ya Uteuzi huo Sanga alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pension wa LAPF. Uteuzi wake umeanza rasmi July 21, 2018.

No comments:

Post a Comment