Mayweather amtolea uvivu 50 Cent ‘unapenda sana kiki, usije tena kuniazima hela - Karafuu24 Blog

Breaking

Sunday, 22 July 2018

Mayweather amtolea uvivu 50 Cent ‘unapenda sana kiki, usije tena kuniazima helaMayweather amchana 50 Cent na kumkingia kifua Ja Rule 'unapenda sana kiki, usije tena kuniazima hela'

Mwanamasumbwi maarufu duniani kutoka Marekani, Floyd Mayweather ameamua kuliamsha bifu na swahiba wake wa zamani 50 Cent   hii ni baada ya rapper huyo kumuandamana Mayweather kwenye mitandao ya kijamii.

Mayweather akitema nyongo kwenye ukurasa wake wa Instagram amefunguka kuwa 50 Cent kwa sasa anahasira na kila kijana yeyote maarufu na mwenye pesa hii ni kutokana na mpenzi wake wa zamani kukataa kurudiana naye,”Tunajua kwa sasa una hasira sana na kila mtu baada ya mzazi mwenzio wa zamani kukataa kurudiana na wewe, kumbuka yule mtoto uliyezaa naye ni damu yako lakini hujali“.

Akizungumzia kuhusu muziki wake kwa sasa Mayweather amesema “hauna tena ngoma kali (Hit Song) kwenye radio kama tulivyokuzoea miaka ya nyuma, kwa sasa hauna hata uwezo wa kuuza ngoma zako kwenye soko ndio maana Interscope (Lebo ya Muziki) imekupiga chini. Umekuwa mtu wa chuki kwa kila rapper, mwanamichezo na hata wachekeshaji ambao wanaingiza mkwanja mrefu au kufanya vizuri kwa sasa,” .

Mayweather akizungumzia bifu ya 50 Cent na Ja Rule amesema “unajifanya unamzonga Ja Rule ili upate kwa kutokea ile hali wewe ndiye uliyeiba staili zote za kurap kutoka kwa Ja Rule, ukatuletea staili zako za Ugangster sasa uko wapi? unaishi kwenye apartment za kimasikini huko New Jersey. nadhani kazi yako kwa sasa ni bora uwe blogger unaweza ukaingiza fedha ila sio muziki tena. Heti unanichukia badala ya kujilaumu Kanye  West kakumaliza kwenye muziki,“.

Mwanamichezo huyo tajiri zaidi duniani amemuonya pia 50 Cent kuwa asije tena kumuomba au kumuazima fedha huku akimsema kuwa amekuwa mtu wa kupenda vitu vya kiki na umbea kuliko hata kazi yake ya muziki.

floydmayweather    Curtis “Confidential Informant” Jackson, you’re mad because your oldest son Marquees mother doesn’t want to be with you! Your Son, your own flesh and blood don’t want nothing to do with you! You haven’t had a hit song on radio in who knows when and you’re definitely not hot enough to even sell records anymore so Interscope dropped you. You are jealous of any rapper, athlete or entertainer that’s hot or got something going on for themselves. You are a certified snitch and we got paperwork to prove it. You talk about Ja-Rule but you stole his whole style and ran with it! You’re the only self proclaimed gangster that’s never put in work! You need to pay homage to the real 50cent for stealing his name and his storyline. Your claim to fame was getting shot numerous times & living to tell it and you think that’s Gangster? Where at? You’re currently living in a fucking apartment in Jersey, you are always in somebody else’s business just to stay relevant. You should just become a blogger cause it’s obvious you don’t have nothing going on in your life. Are you mad that Kanye West ended your career? The only thing you got going on is Power and everybody watches that because Ghost is a dope ass character on the show. You can leave the show everybody will still watch Power, but out here in the real world I’m The Real Ghost. That’s not a Mansion in Connecticut that you’re in debt for, that’s a dump, a money pit an oversized trap house! It was dope when Mike Tyson had it in the late 80’s early 90’s, but you couldn’t afford to maintain it. You’re always talking about somebody is broke, but the last time I checked it was Curtis Jackson that filed for bankruptcy not Floyd Mayweather. So quick to gossip like a Bitch, why don’t you tell everybody how you got Herpes from DJ. Where’s your memes for that, huh? Or better yet, post on how your Coca-Cola deal wasn’t really 300 million you fucking liar and tell how that spinning G-Unit necklace that somebody got robbed for was fake. Just remember, I was with you everyday and your driver Bruce was my driver also. I know where all your bones are buried, so be easy Curtis Jackson! And by the way, don’t ask to borrow no more money from me.

Mapema mwezi uliopita 50 Cent alimuita Floyd Mayweather ‘Mtu mjinga zaidi duniani’ baada ya mwanamasumbwi huyo kununua saa yenye gharama kubwa zaidi.

Hata hivyo wawili hao kipindi cha nyuma walishawahi kurushiana vijembe ingawaje ni watu ambao wamekuwa pamoja kwa muda mrefu.

No comments:

Post a Comment