Mange Kimambi Amtolea Uvivu Shiloleh - Karafuu24 Blog

Breaking

Thursday, 19 July 2018

Mange Kimambi Amtolea Uvivu ShilolehMwanadada anaesifika katika mitandao kwa ajili ya kukososa na kutoa siri za wasanii na watu wengi marufu nchini Mange Kimambi amemtolea uvivu msanii wa bongo fleva Shiloleh  baada ya msanii huo kumkosoa Muna love kwa kufanya press conference na kuelezea scenario ya kifo cha mtoto wake.

Katika press hiyo ambayo muna aliamua kuweka wazi juu ya mahusiano yake na Peter ambae ndie iliyesemekana kuwa ndie baba wa mtoto na kusema ukweli kuwa mtoto ni wa Casto, aliwagusa watu wengi akiwemo shihsi ambae alianza kumtukana muna kwa kumwambia kuwa alipaswa kusubiri mpaka 40 ya mtoto wake ipite

No comments:

Post a Comment