Mamia Wamshambulia Wema kisa Jokate kuwa DC, Wadai Aendelee tu na Kiki za Insta - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 30 July 2018

Mamia Wamshambulia Wema kisa Jokate kuwa DC, Wadai Aendelee tu na Kiki za Insta

Wikiendi hii imekuwa ni ya nenda kwa usalama katika mitandao ya kijamii kutokana na habari kubwa kabisa ya mh rais kuteuwa viongozi mbalimbali wapya huku habari kubwa ya mastaa ikiwa ni kutokana na mwanadada jkate mwegelo kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya.

Watu wengi wamefuraha hasa kutokana  na uachapakazi  wa mwanadada jokate, alkini pia kutona ana moyo wake  wa kujitoa na kusaidia wengine.

Lakini wengi wamekuwa wakitoa mapovu kwa mwanadada Wema Sepetu huku wakisema kuwa inawezekana kabisa kuwa nafasi hii kubwa aliyopewa jokate hata yeye alipaswa kuwa nayo kutokana na ukweli kuwa hata yeye amekuwa katika siaisa miaka mingi .

Swala linalowafanya wamtukane na kumtolea mapovu ni kutokana ana tabia ya Wema ya kushindwa kujiheshimu , na kutokuwa na siri kwa kila kitu.amekuwa akijiingiza katika mambo ya hovyo yanayomuondolea sifa za kuwa na wadhifa mzuri.hizi n baadhi ya comment za mashabiki

No comments:

Post a Comment