Lulu Diva Afunguka Kuhusu Tetesi za Rich Mavoko Kuumwa Pamoja na Kuondoka WCB (Video) - Karafuu24 Blog

Breaking

Thursday, 26 July 2018

Lulu Diva Afunguka Kuhusu Tetesi za Rich Mavoko Kuumwa Pamoja na Kuondoka WCB (Video)


Muimbaji Lulu Diva ambaye anadaiwa kutoka kimapenzi na muimbaji, Rich Mavoko amefunguka kumzungumzia muimbaji huyo ambaye amekaa kimya kwa muda mrefu. Diva amedai kila siku anaonana na Mavoko na ni mzima.

VIDEO:

Bongo5 

No comments:

Post a Comment