JEZI ZA UGENINI ZA CHELSEA HIZI HAPA, MOJA ORIJINO SH 280,000 - Karafuu24 Blog

Breaking

Friday, 20 July 2018

JEZI ZA UGENINI ZA CHELSEA HIZI HAPA, MOJA ORIJINO SH 280,000Chelsea wametangaza uzi wao wa rangi ya njano, huu utakuwa ni kwa ajili ya mechi za ugenini.

Utatumika kwa timu kubwa, timu ya wanawake na zile za vijana na watoto na bei yake ni pauni 90, sawa na Sh 280,000.


No comments:

Post a Comment