Idris baada ya Wema kutakiwa faini ya Milioni 2 asema atamsaidia kulipa - Karafuu24 Blog

Breaking

Friday, 20 July 2018

Idris baada ya Wema kutakiwa faini ya Milioni 2 asema atamsaidia kulipa


Baada ya hukumu ya Wema Sepetu kutoka leo July 20,2018 na kuhukumiwa mwaka mmoja jela au kulipa faini ya shilling Milion 2, Idris Sultan ambaye aliwahi kuwa mapenzini na Wema Sepetu ameamua kusema kuwa atamsaidia kulipa  faini hiyo ya Milion 2 aliyoamuriwa na mahakama.

Maneno hayo ameyasema kupitia ukurasa wake wa instagram baada ya ku-post nusu picha ya Wema Sepetu na kuandika “🍒 wa sultan hawakai mbali na Sultan kama vipi nitalipa 😒”


No comments:

Post a Comment