Hatimaye Rich Mavoko Athibitisha Kujitoa WCB - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 23 July 2018

Hatimaye Rich Mavoko Athibitisha Kujitoa WCB

Kumekuwa na mambo mengi yakizunguka kuhusu ukweli wa  msanii rich mavokokuwepo ndani ya wcb au hayupo tena, kila mtu amekuwa akiongea lake uku wengine wasitake kusema moja kwa moja kuusu swala hilo.

Hata hivyo katika akaunti za wasanii wa WCB wote kumekuwa na alama inayoashiria kuwa msanii huyo anatoka katika lebo ya WCB, lakini hii imeonekana tofauti kwa akaunti ya instagram ya Rich mavoko kwa sasa kwa sababu kiashiria icho hakipo  tena kama hapo awali,

No comments:

Post a Comment