Casto Umwambii Chochote kwa Tunda "Acha Dunia Inione Mjinga Ila Wewe ni Mke Wangu Mtarajiwa – Casto - Karafuu24 Blog

Breaking

Saturday, 21 July 2018

Casto Umwambii Chochote kwa Tunda "Acha Dunia Inione Mjinga Ila Wewe ni Mke Wangu Mtarajiwa – Casto

Leo ni siku ya kuzaliwa ya video vixen Tunda ambaye ni mpenzi wa Mtangazaji wa Clouds TV, Casto Dickson.


Mrembo huyo amepokea salamu nyingi za heri ya siku ya kuzaliwa lakini ambayo imeteka vichwa vya habari ni ile iliyoka kwa mtangazaji huyo ambaye alichukua nafasi hiyo kueleza namna anavyompenda binti huyo.

“Acha Dunia inione mi KOLO/MJINGA Ila ur my Wife to be Happy Birthday my T.. God Bless u,” aliandika Casto Dickson kupitia Instagram yake.

Hiyo ni kauli ya kwanza ya mtangazaji huyo toka, Muna ambaye amefiwa na mtoto wake wiki tatu zilizopita atangaze kwamba Patrick alikuwa mtoto wa mtangazaji huyo lakini alikataa mimba akiwa na wiki mbili.

Muna alifikia hatua hiyo baada ya mume wake wa ndoa, Peter kutangaza hadharani kwamba mtoto huyo ni wake na sio wa Casto Dickson kama baadhi ya watu ambavyo wanavyosema.

No comments:

Post a Comment