Barcelona wafungua milango kwa Everton kumsaini mchezaji huyu - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 30 July 2018

Barcelona wafungua milango kwa Everton kumsaini mchezaji huyu

Everton wanaonekana wako karibu kwenye kukamilisha usajili wa beki wa Ufaransa, Luca Digne ambaye anakipiga katika klabu ya  Barcelona.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 anadaiwa kuwa na thamani ya paundi milioni 25 kwa mujibu wa mitandao ya habari za michezo Marekani.
Everton wanadaiwa tayari wameshakubaliana na Barcelona kwaajili ya kukamilisha usajili wa beki hiyo kijana.

No comments:

Post a Comment