Wizkid Kunogesha Ufunguzi Kombe la Dunia - Karafuu24 Blog

Breaking

Thursday, 14 June 2018

Wizkid Kunogesha Ufunguzi Kombe la Dunia

Tetesi zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu staa maarufu kutokea Nigeria Wizkid “Starboy”  kutajwa katika list ya wasanii ambao watatoa burudani katika kombe la dunia FIFA mwaka 2018 litakalofanyika leo June 14,2018 nchini Russia.

Tetesi hizo zinadai kuwa Wizkid atakuwa akitoa burudani na mastaa maarufu duniani akiwemo Will Smith(Marekani), Nicky Jam(Marekani), Era Istrefi ambao wataperform wimbo rasmi wa kombe la dunia na hii ni nafasi kubwa kwa staa huyo kutokea Nigeria.

Hizi ni kati ya timu 32 zitakazoshiriki kombe la dunia mwaka huu wa 2018 ambazo ni Brazil, Nigeria, Morocco, Misri, Germany, Portugal na nyingine nyingi.

No comments:

Post a Comment