UZINDUZI MFUMO WA USAJILI WA MTANDAO WA KOMPYUTA - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 25 June 2018

UZINDUZI MFUMO WA USAJILI WA MTANDAO WA KOMPYUTA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa Mfumo wa Usajili kwa kutimia Mtandao wa Kompyuta kwa taasisi za Biashara na Amana kwa Mali zinazohamishika,hafla hiyo ilifanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar (kushoto) Mkuu wa idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ya Komptuta katika Wizara ya Biashara na Viwanda Ibrahim Salum Saleh,[Picha na Ikulu.] 25/06/2018
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa Mfumo wa Usajili kwa kutimia Mtandao wa Kompyuta kwa taasisi za Biashara na Amana kwa Mali zinazohamishika,hafla hiyo ilifanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar (kushoto) Mkuu wa idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ya Komptuta katika Wizara ya Biashara na Viwanda Ibrahim Salum Saleh na (kulia) Waziri wa Biashara na Viwanda  Balozi Amina Salum Ali,[Picha na Ikulu.] 25/06/2018. 
Washiruiki katika  uzinduzi wa Mfumo wa Usajili kwa kutimia Mtandao wa Kompyuta kwa taasisi za Biashara na Amana kwa Mali zinazohamishika,hafla hiyo ilifanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,mgeni rasmi  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,  [Picha na Ikulu.] 25/06/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake katika , uzinduzi wa Mfumo wa Usajili kwa kutimia Mtandao wa Kompyuta kwa taasisi za Biashara na Amana kwa Mali zinazohamishika,hafla hiyo ilifanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,
[Picha na Ikulu.] 25/06/2018. 
Waziri wa Biashara na Viwanda  Balozi Amina Salum Ali alipokuwa akizungumza mafupi na kumkaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ili kutoa hutuba yake katika uzinduzi wa Mfumo wa Usajili kwa kutimia Mtandao wa Kompyuta kwa taasisi za Biashara na Amana kwa Mali zinazohamishika,hafla hiyo ilifanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,
[Picha na Ikulu.] 25/06/2018. 
NA RAMADHAN OTHMAN ABDALLA.

No comments:

Post a Comment