Senegal wameinyanyua Africa Waichapa Poland Kipigo Takatifu - Karafuu24 Blog

Breaking

Tuesday, 19 June 2018

Senegal wameinyanyua Africa Waichapa Poland Kipigo TakatifuSenegal wameinyanyua Africa baada ya mataifa mengine kushindwa kupata matokeo kwenye mechi zao zilizopita.

Leo Senegal wameitandika Poland Mabao mawili kwa bao moja

Matokeo mengi ya timu za Afrika zilizofungwa

Egypt 0-1 Uruguay
Morocco 0-1 Iran
Croatia 2-0 Nigeria
Tunisia 1-2 England
Poland 1-2 Senegal

No comments:

Post a Comment