Rais Magufuli amemteua Jaji Mstaafu Lubuva kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam - Karafuu24 Blog

Breaking

Tuesday, 19 June 2018

Rais Magufuli amemteua Jaji Mstaafu Lubuva kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais John Pombe Magufuli amemteua Jaji Mstaafu Damian Zefrin Lubuva kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Soma taarifa kamili:

No comments:

Post a Comment