Rais Magufuli Afanya Uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania - Karafuu24 Blog

Breaking

Saturday, 23 June 2018

Rais Magufuli Afanya Uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Yohana Luhunga Budeba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Research Institute – TARI).

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Dkt. Budeba umeanza June 20, 2018.

No comments:

Post a Comment