RAIS DK.SHEIN AWAFUTARISHA WANANCI MKOA WA KUSINI UNGUJA JANA. - Karafuu24 Blog

Breaking

Sunday, 10 June 2018

RAIS DK.SHEIN AWAFUTARISHA WANANCI MKOA WA KUSINI UNGUJA JANA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa alipowasili katika  futari aliyoiandaa kwa Wananchi  wa Mkoa wa Kusini leo huko katika viwanja vya Ofisi ya Uhamiaji Tunguu Wilaya ya Kati,(katikati) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Mhe.Hassan Khatibu Hassan,[Picha na Ikulu.] 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimpa tende Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hassan Khatibu Hassan  wakati wa  futari aliyoiandaa kwa Wananchi  wa Mkoa wa Kusini leo huko katika viwanja vya Ofisi ya Uhamiaji Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini,[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya Viongozi na wananchi mbali mbali wakiwa katika futari aliyoiandaliwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein  kwa Wananchi  wa Mkoa wa Kusini Unguja leo huko katika viwanja vya Ofisi ya Uhamiaji Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini,[Picha na Ikulu.] 
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akijumuika na Viongozi Wanawake katika futari aliyoiandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein  kwa Wananchi  wa Mkoa wa Kusini Unguja leo huko katika viwanja vya Ofisi ya Uhamiaji Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini (kulia) Mkuu wa Wilaya ya Kati Mhe.Mashavu Sukwa Said na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Sira Ubwa Mamboya,[Picha na Ikulu.] 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiagana na Viongozi baada kufutari pamoja aliyowaandalia  Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja leo katika  viwanja vya Ofisi ya Uhamiaji Tunguu Wilaya ya Kati,  [Picha na Ikulu.] 

NA RAMADHAN OTHMAN ABDALLA

No comments:

Post a Comment