PICHA:DR,SHEIN AONGOZA BARAZA LA IDD EL FITRI LEO - Karafuu24 Blog

Breaking

Friday, 15 June 2018

PICHA:DR,SHEIN AONGOZA BARAZA LA IDD EL FITRI LEO

Msafara wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein ukiwasili katika Viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,Rais akihudhuria katika Baraza la IDD-EL-FITRI lililofanyika leo katika kusheherekea Sikukuu ya Eid baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, [Picha na Ikulu.] 15/06/2018.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Katiba,Sheria.Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman alipowasili katika Viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar, leo akihudhuria katika Baraza la  IDD-EL-FITRI lililofanyika  katika kusheherekea Sikukuu ya Eid baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud, [Picha na Ikulu.] 15/06/2018.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein  na Waziri wa Katiba,Sheria.Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (katikati) wakifuatana mara alipowasili katika Viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar, leo akihudhuria katika Baraza la  IDD-EL-FITRI  lililofanyika  katika kusheherekea Sikukuu ya IDD baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud na Kamishana wa Polisi Zanzibar (CP) Mohamed Hassani Haji, [Picha na Ikulu.] 15/06/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (mbele) akipokea salamu ya Heshma ya Gwaride la Kikosi cha Polisi FFU leo mara  alipowasili katika Viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar, katika Baraza la  IDD-EL-FITRI   lililofanyika  katika kusheherekea Sikukuu ya Eid baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 15/06/2018. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati 
alipowasili katika Viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar, katika Baraza la  IDD-EL-FITRI lililofanyika leo  katika kusheherekea Sikukuu ya Eid baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 15/06/2018. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na  Waziri wa Katiba,Sheria.Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (kulia)  mara alipowasili katika Viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar, leo akihudhuria katika Baraza la  IDD-EL-FITRI  lililofanyika  katika kusheherekea Sikukuu ya Idd baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan (kushoto) Kamishana wa Polisi Zanzibar (CP) Mohamed Hassan Haji, [Picha na Ikulu.] 15/06/2018.
Baadhi ya Viongozi na Wananchi wakiwa katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar katika Sherehe za Baraza la  IDD-EL-FITRIlililofanyika  katika kusheherekea Sikukuu ya Idd baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan  lililofanyika leo Mgeni rasmi akiwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), [Picha na Ikulu.] 15/06/2018.
Waziri wa Katiba,Sheria.Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (katikati) alipokuwa akimkaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), ili kuzungumza na Wananchi na Viongozi katika Baraza la  IDD-EL-FITRI  ikiwa ni katka kusherehekea  Sikukuu ya Eid baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan hafla iliyofanyika leo  katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar, [Picha na Ikulu.] 15/06/2018. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiwahutubia Viongozi,Mabalozi,Wananchi na Waislamu mbali mbali katika sherehe za Baraza la  IDD-EL-FITRI  baada ya kumalizika kwa Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan,zilizofanyika leo katika  Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar, [Picha na Ikulu.] 15/06/2018.  
Baadhi ya Viongozi wakisikiliza na kuangalia Vitabu vya Hutuba ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) aliyoitoa leo katika Baraza la  IDD-EL-FITRI ikiwa ni kusherehekea Sikukuu baada ya kumalizika kwa Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan sherehe zilizofanyika  katika  Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar, [Picha na Ikulu.] 15/06/2018.   
Baadhi ya Viongozi wakisikiliza na kuangalia Vitabu vya Hutuba ya  Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) aliyoitoa leo katika Baraza la  IDD-EL-FITRI  ikiwa ni kusherehekea Sikukuu baada ya kumalizika kwa Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan sherehe zilizofanyika  katika 

 
NA RAMADHAN OTHMAN ABDALLA

No comments:

Post a Comment