PICHA HIZI HAPA NAMNA TEAM SAMATTA ILIVYOSHINDA KWA MABAO 4-2 DHIDI YA TEAM ALI KIBA LEO TAIFA - Karafuu24 Blog

Breaking

Saturday, 9 June 2018

PICHA HIZI HAPA NAMNA TEAM SAMATTA ILIVYOSHINDA KWA MABAO 4-2 DHIDI YA TEAM ALI KIBA LEO TAIFA


Ule mchezo wa kuchangia elimu umemalizika kwa Team Samatta kushinda kwa mabao 4-2 dhidi ya Team Ali Kiba.

Kikosi cha Ali Kiba kilitangulia kufunga mabao mawili kabla ya Team Samatta kuanza kusawazisha na mwisho kuongeza.

Picha za action namna mechi hiyo ilivyofana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo.No comments:

Post a Comment