Nini na Nay wa Mitego wazidi kuacha alama ya viulizo - Karafuu24 Blog

Breaking

Sunday, 10 June 2018

Nini na Nay wa Mitego wazidi kuacha alama ya viulizo

Ikiwa leo June 9,2018 ni siku ambayo watu wengi husherekea siku zao za kuzaliwa basi katika list hiyo huwezi kuacha kumtaja mkali katika bongo Fleva Nay wa mitego ambaye na yeye amezaliwa siku kama ya leo.

Msanii Nini amehusika kumu-wish Nay wa Mitego kupitia account yake ya instagram lakini maswali yamekuja baada ya kupost picha ya Nay Wa Mitego na kuandika caption ambayo imezua alama za kuuliza hii ni kutokana tu na wawili hao kuhusishwa kwenye mahusiano ya kimapenzi.

Nini ameandika
“Hey Handsome!Happy Birthday my ❤, My Chaga Boss, My Never Gonna Billnass and Nandy me (Kidding๐Ÿ˜‚)..Ukawe mwaka wa mafanikio mengi katika maisha yako!I love you extra much BOJ❤๐Ÿ˜—๐ŸŽ‰ @naytrueboytz @naytrueboytz”

No comments:

Post a Comment