Nafasi za Kazi kwa Waandishi wa Habari - Karafuu24 Blog

Breaking

Saturday, 23 June 2018

Nafasi za Kazi kwa Waandishi wa Habari


Muungwana Blog inatoa Fursa kwa Mwaandishi wa Habari ambae anapenda kufaya kazi na sisi, Tunapokea Waandishi wa Habari kutoka Mikoani na Wilayani mbalimbali nchini.

Sifa za Mwombaji.

1. Uwe na Diploma au Digree
2. Uwe umefanyakazi kwa zaidi ya miaka 2
3. Uwena na vifaa vyako mwenyewe vya kazi
4. Uwe mbunifu, mchapakazi  na mwenye ushirikiano kwa kila mtu.

Kama upo tayari kufanya kazi Muungwana blog wasiliana na sisi kupitia Email hii 
muungwanatube@gmail.com

No comments:

Post a Comment