MWANAMKE WA MIAKA 18 ABAKWA NA WATU 6 ALIPOKUA AKIRUDI SKUKUUNI. - Karafuu24 Blog

Breaking

Tuesday, 19 June 2018

MWANAMKE WA MIAKA 18 ABAKWA NA WATU 6 ALIPOKUA AKIRUDI SKUKUUNI.

MKOA  WA MJINI  MAGHARIB;
MTU MMOJA WA KIKE MWENYE UMRI WA MIAKA 18 AMEBAKWA NA WATU SITA
MAENEO YA MUEMBE MAKUMBI ALIPOKUWA AKIRUDI KATIKA VIWANJA VYA SKUKUU.
        AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI HUKO OFISINI KWAKE MUEMBE
MADEMA KAMANDA WA  POLISI WA MKOA WA MJINI MAGHARIB THOBIAS GESAUDA
SEDOYEKA AMESEMA  TUKIO HILO LIMETOKEA  LEO MAJIRA YA   SAA  SABA ZA
USIKU.
AMSEMA HADI SASA WAMESHIKILIWA VIJNA WAWILI KWA TUHUMA HIYO  NA JESHI
LA POLISI LINENDELEA NA UPELELEZI ILI KUWAPATA WATU WENGINE
WALIOHUSIKA NA TUKIO HILO.
AKIZUNGUMZIA KUHUSIANA NA DAWA ZA KULEVYA KAMANDA  HUYO AMESEMA JUMLA
YA WATU SITA WAMEKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA KATIKA MAENEO MBALIMBALI
NA UJAZO TOFAUTI KATIKA MKOA HUO.


NA FATUMA MOHAMMED.

No comments:

Post a Comment