Mwalimu Aliyemfundisha Diamond Kingereza Afunguka Kuifundisha WCB Nzima - Karafuu24 Blog

Breaking

Tuesday, 26 June 2018

Mwalimu Aliyemfundisha Diamond Kingereza Afunguka Kuifundisha WCB Nzima

Mwalimu alyemfundisha msanii mkubwa tanzania diamond platinumz kingereza maefunguka na kusema kuwa yeye ndie alimfundisha diamond kingerza na alikuwa mwanafunzi mzuri na mwenye jitihada sana alipokuwa akisoma kozi hiyo.

Hata hivyo mwalimu huyo amefunguka na kusema kuwa kwa sababu ya kufanya vizuri kwa diamond, alijikuta anapewa tenda ya kuwafundisha wasanii wengine wa wcb akiwemo harmonize.

Diamond platinumz, Diamond he was very smart na kuna muda mwingine alikuwa akiwa ananirudisha nyumbani tukiwa kwenye gari unakuta ameshika na kitabu huku anasoma.

Hata hivyo, mwalimu huyo alipoulizwa kuhusu kingereza cha harmonize iliyofanyika hivi karibuni alipokuwa Nigeria alijibu na kusema kuwa mambo haya kwenda vizuri kidogo lakini kila kitu kitakuwa sawa.

Alishawahi kunipa deal nikafundisha WCB wote, nilimfundisha Momo,Nikamfundisha Harmonize,Rich , Rayvany.kuhusu mahojiano ya harmonize ni kwamba darasa lilikuwa gumu kidogo.

No comments:

Post a Comment