MWAKILISHI WA UNICEF AMUAGA RAIS DK.SHEIN. - Karafuu24 Blog

Breaking

Wednesday, 20 June 2018

MWAKILISHI WA UNICEF AMUAGA RAIS DK.SHEIN.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na  Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Kimataifa la kusaidia Watoto Tanzania (UNICEF) Bibi Maniza S.Zaman alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na  Mwakilishi wa Shirika hilo Ofisi ya Zanzibar Bibi.Francesca Morandimi (kushoto) aliyefika kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa Kazi,[Picha na Ikulu.] 20/06/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na  Mwakilishi wa Shirika la UNICEF anayefanyia kazi zake Zanzibar Bibi.Francesca Morandimi (kushoto) aliyefika kumuaga Rais alipofika Ikulu Mjini Zanzibar  baada ya kumaliza muda wake wa Kazi akifuatana na  Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Kimataifa la kusaidia Watoto Tanzania (UNICEF) Bibi Maniza S.Zaman (katikati),[Picha na Ikulu.] 20/06/2018.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Kimataifa la kusaidia Watoto Tanzania (UNICEF) Bibi Maniza S.Zaman alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na  Mwakilishi wa Shirika hilo Ofisi ya Zanzibar Bibi.Francesca Morandimi (hayupo pichani) aliyefika kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa Kazi,[Picha na Ikulu.] 20/06/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na  Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Kimataifa la kusaidia Watoto Tanzania (UNICEF) Bibi Maniza S.Zaman (katikati)alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na  Mwakilishi wa Shirika hilo Ofisi ya Zanzibar Bibi.Francesca Morandimi (kushoto) aliyefika kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa Kazi,[Picha na Ikulu.] 20/06/2018.  

NA RAMADHAN OTHMAN ABDALLA

No comments:

Post a Comment