Manara: Uwezekano wa Kocha Lechantre Kubaki Simba ni Asilimia 10 - Karafuu24 Blog

Breaking

Tuesday, 12 June 2018

Manara: Uwezekano wa Kocha Lechantre Kubaki Simba ni Asilimia 10

Usiku wa June 11 2018 katika ukumbu wa Hayyat Simba iliingia katika historia mpya kwa kuanzisha utaratibu wa kuwa inatambuwa mchango kwa watu mbalimbali wanaoisadia Simba kufanya vizuri, ikiwemo wachezaji, viongozi na mashabiki.

Wakati wa utoaji wa tuzo hizo kocha mkuu wa Simba SC mfaransa Pierre Lechantre alitoa shukrani na kusema anawatakia Simba SC kila la kheri kitu ambacho kimeashiria kuwa anaondoka ndani ya club ya Simba.

Baada ya hapo AyoTV ilimuuliza afisa habari wa Simba Haji Manara kuhusiana na ishu hiyo “Mimi nadhani Lechantre baada ya mkataba wake kumalizika tarehe 18 nadhani inawezekana ameshafikia maamuzi na kamati ya utendaji kuwa hatoendelea”

No comments:

Post a Comment