Klabu ya Singida United imefanikiwa kuwa mshindi wa tatu katika Michuano ya SportPesa Super - Karafuu24 Blog

Breaking

Sunday, 10 June 2018

Klabu ya Singida United imefanikiwa kuwa mshindi wa tatu katika Michuano ya SportPesa SuperKENYA: Klabu ya Singida United kutoka Tanzania imefanikiwa kuwa mshindi wa tatu katika Michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuifunga Kakamega HomeBoys kwa penati

Singida imeishinda Kakamega kwa penati 4-1, walipigiana penati baada ya dakika 90 za mchezo kumalizika wakiwa wamefungana goli 1-1

Michuano hiyo ambayo inamalizika leo, itamalizika baada ya mechi ya fainali kati ya Simba SC(Tanzania) na Gor Mahia(Kenya) kuchezwa. Mechi hii inaanza majira ya saa 9:00 alasiri

No comments:

Post a Comment