HABARI PICHA:MKULIMA AKIVUNA MATANGO MADOGO MADOGO. - Karafuu24 Blog

Breaking

Friday, 22 June 2018

HABARI PICHA:MKULIMA AKIVUNA MATANGO MADOGO MADOGO.


MKULIMA  aliyekosekana jina lake akivuna matango madogo madogo katika shambalake huko kazole matetema kama akivyokuta na mapiga picha. Picha na Miza Othman- Maelezo Zanzibar.

SHAMBA LA MIHINDI ikionekana imenawiri baada ya kupita  mvua za msimu kama lilivyokutwa na mpiga picha wetu. Picha Na Miza Othman- Maelezo Zanzibar.

SHAMBA LA MINYANYA  ikionekana imenawiri baada ya kupita  mvua za msimu kama lilivyokutwa na mpiga picha wetu. Picha na Miza Othman- Maelezo Zanzibar. Picha Na Miza Othman- Maelezo Zanzibar.

SHAMBA LA MPUNGA ikionekana imenawiri baada ya kupita  mvua za msimu kama lilivyokutwa na mpiga picha wetu. Picha Na Miza Othman- Maelezo Zanzibar.


SHAMBA LA MIHOGO  ikionekana imenawiri baada ya kupita  mvua za msimu kama lilivyokutwa na mpiga picha wetu. Picha Na Miza Othman- Maelezo Zanzibar.

NA HANARI MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment