Habari Njema Kwa Waislam Tanzania, Taarifa ya Kuandama Kwa Mwezi Hii Hapa - Karafuu24 Blog

Breaking

Thursday, 14 June 2018

Habari Njema Kwa Waislam Tanzania, Taarifa ya Kuandama Kwa Mwezi Hii Hapa

#HABARI: Baraza kuu la waislamu limetangaza kuandama kwa mwezi, ambapo limesema mwezi umeonekana katika maeneo mbalimbali ikiwemo Dar es Salaam na Tanga.

Mufti wa Tanzania Sheikh Aboubakar Bin Zubery amesema kutokana na kuandama kwa mwezi kesho ni Sikukuu ya Eid El Fitri.

No comments:

Post a Comment