DR.SHEIN AONGOZA SWALA YA EID EL FITRI KATIKA UWANJA WA MAISARA SULEIMAN MJINI UNGUJA - Karafuu24 Blog

Breaking

Friday, 15 June 2018

DR.SHEIN AONGOZA SWALA YA EID EL FITRI KATIKA UWANJA WA MAISARA SULEIMAN MJINI UNGUJA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) akijumuika na Viongozi na Waislamu mbali mbali katika swala ya Eid  El Fitri  baada ya kukamilika kwa ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan iliyoswalishwa na Sheikh Khalid Ali Mfaume katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 15/06/2018.
Wananchi na Waisalamu mbali mbali wakijumuika na Viongozi na    katika swala ya Eid  El Fitri  baada ya kukamilika kwa ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan   iliyoswalishwa na Sheikh Khalid Ali Mfaume katika Uwanja wa Maisara Suleiman  Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 15/06/2018.
Waislamu Wanawake wakijumuika pamoja  katika swala ya Eid  El Fitri  baada ya kukamilika kwa ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan   iliyoswalishwa na Sheikh Khalid Ali Mfaume katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 15/06/2018.
Wananchi wakisikiliza Hotuba ya baada ya Swala ya    Eid  El Fitri iliyotolewa na  Sheikh Khalid Ali Mfaume leo katika  katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar baada ya Idaba ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, [Picha na Ikulu.] 15/06/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tano kulia) pamoja na  Viongozi na Waislamu mbali mbali waitikia dua iliyoombwa baada ya  swala ya Eid  El Fitri  kwa  kukamilisha ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan   katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 15/06/2018. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na  Viongozi na Waislamu mbali mbali waitikia dua iliyoombwa baada ya  swala ya Eid  El Fitri  kwa  kukamilisha  ibada ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan   katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 15/06/2018. 

RAJAB OTHMAN ABDALLA

No comments:

Post a Comment