Breaking News: Ajali Yaua Wanajeshi wa JWTZ Mbeya - Karafuu24 Blog

Breaking

Thursday, 14 June 2018

Breaking News: Ajali Yaua Wanajeshi wa JWTZ Mbeya


Basi lenye namba za usajili T 755 BAB lililokuwa likitokea mkoani Tabora limepata ajali eneo la Igodima jijini Mbeya na kusababisha vifo vya kadhaa vya askari wa Jeshi la Wananchi. Taarifa kamili tunakuletea.

No comments:

Post a Comment