Baada ya Maofisa Kupima Samaki kwa Rula Waziri Aomba Radhi - Karafuu24 Blog

Breaking

Wednesday, 20 June 2018

Baada ya Maofisa Kupima Samaki kwa Rula Waziri Aomba Radhi

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ameliomba radhi Bunge kwa kitendo cha maofisa wa wizara yake kuingia kwenye mgahawa wa Bunge Dodoma na kupima kwa rula samaki waliopikwa kwa ajili ya kitoweo.

No comments:

Post a Comment