Aliyemuokoa mtoto ghorofani apewa tuzo ya heshima BET - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 25 June 2018

Aliyemuokoa mtoto ghorofani apewa tuzo ya heshima BET

Mamoudou Gassama.

RAIA wa Mali, Mamoudou Gassama, aliyepanda hadi ghorofa ya nne ya jengo moja kwa kupitia nje na kumwokoa mtoto aliyekuwa ananing’inia pia kwa nje nchini Ufaransa,  ametunukiwa tuzo ya heshima ya  “Humanitarian Honoree” kwenye tuzo za Black Entertainment Televisheni (BET) zilizofanyika usiku wa kuamkia leo.

No comments:

Post a Comment