AFISI MRAJISI WA VYAMA VYA MICHEZO ZANZIBAR YATUPILIA MBALI MAAMUZI YA ZFA. - Karafuu24 Blog

Breaking

Wednesday, 20 June 2018

AFISI MRAJISI WA VYAMA VYA MICHEZO ZANZIBAR YATUPILIA MBALI MAAMUZI YA ZFA.

Afisi ya Mrajis wa vyama vya Michezo Zanzibar imepinga maamuzi ya Kamati Tendaji ya Chama cha Soka Zanzibar (ZFA Taifa) yakuzikataa Barua za kujiuzulu kwa viongozi wakuu wa Chama hicho.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Mrajis wa Vyama vya Michezo Zanzibar Suleiman Pandu Kweleza amesema Ofisi yake inatambua uhalali wa kujizulu viongozi hao ambao waliandika barua wenyewe.

No comments:

Post a Comment