Show ya Haji Manara baada ya ushindi wa Simba - Karafuu24 Blog

Breaking

Tuesday, 1 May 2018

Show ya Haji Manara baada ya ushindi wa Simba

Ushindi wa Simba dhidi ya Yanga ulimtoa Haji Manara jukwaa la VIP hadi chini kabisa kuja kuwapa show mashabiki wa timu hiyo kusherekea ushindi wa goli 1-0.
Imekuwa kawaida kwa Manara kufanya hivyo hasa pale Simba inapoifunga Yanga. Alifanya hivyo msimu uliopita wakati Simba ilipoifunga Yanga 2-1 katika mchezo wa ligi.

No comments:

Post a Comment