Ngoma ya Chege na Diamond yatua Liverpool - Karafuu24 Blog

Breaking

Tuesday, 1 May 2018

Ngoma ya Chege na Diamond yatua Liverpool

Ngoma ya Chege aliyomshiriksha Diamond Platnumz ‘Waache Waoane’ bado ipo kwenye headlines zake za kiburudani.

Hii ni baada ya beki wa Liverpool, Dejan Lovren ku-share video mtandaoni akisikiliza na kucheza wimbo huo.
Video Player
00:00
00:14
Dejan Lovren
Ngoma Waache Waoane ilitoka Augost 4, 2016, wimbo huo uliotayarishwa Wasafi Records hadi sasa una views Milioni 8.3 katika mtandao wa YouTube.

No comments:

Post a Comment