Imefahamika Kumbe Alikiba ni Partner Kwenye Kinywaji cha Mofaya na Sio Balozi - Karafuu24 Blog

Breaking

Tuesday, 1 May 2018

Imefahamika Kumbe Alikiba ni Partner Kwenye Kinywaji cha Mofaya na Sio Balozi


Jana Palikuwa na Mjadala mkubwa mitandaoni kuhusu Ali Kiba na Kinywaji cha Mofaya alichokizindua tarehe 29 April siku ya Harusi yake Tanzania, Wengi walikuwa wakisema kuwa kinywaji hicho sio cha kwake bali ni cha DJ Mmoja huko South Afrika, lakini ukweli umebainika kuwa ni kweli kinywaji hicho mwanzilishi wake ni DJ Djsbulive kutoka South Afrika lakini kwa sasa amemkaribisha Ali Kiba kuwa Mwenza (Partner) Katika hiyo Biashara ikiwa na maana kuwa amepewa umiliki fulani

DJ Djsbulive Amefunguka haya:

No comments:

Post a Comment