WAZIRI WA HABARI UTALII NA MAMBO YA KALE AENDELEA NA ZIARA ZA KUZITEMBELEA VITENGO MBALIMBALI VYA WIZARA HIYO. - Karafuu24 Blog

Breaking

Thursday, 19 April 2018

WAZIRI WA HABARI UTALII NA MAMBO YA KALE AENDELEA NA ZIARA ZA KUZITEMBELEA VITENGO MBALIMBALI VYA WIZARA HIYO.

JENGO la Makumbusho ya Mnazimmoja Mjini Zanzibar alilolitembelea  Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar.
MKUU wa Makumbusho ya Zanzibar Abdalla Ali  akimpatia maelezo Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo namna ya michoro ya Visiwa vya Zanzibar iliyochorwa kwa hati za Qurani.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akiangalia Vazi la Utamaduni wa Kihindi.
 Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akiangalia aina mbalimbali za picha zilizowekwa katika Makumbusho ya Mnazimmoja Mjini Zanzibar.
JENGO La Makumbusho ya Kifalme PALACE MUZEUM  alilolitembelea Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo liliyupo Fordhani Mji Mkongwe Zanzibar.
 Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akiangalia baadhi ya picha za Wafalme waliotawala Zanzibar.Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo aligagua sehemu mbalimbali za Jengo la Makumbusho ya Kifalme PALACE MUZEUM (Picha na Abdalla Omar Maelezo – Zanzibar). 

Na Habari Maelezo Zanzibar

No comments:

Post a Comment