Video: Inasikitisha Vilio, Simanzi Vyatanda Msiba wa Masogange - Karafuu24 Blog

Breaking

Saturday, 21 April 2018

Video: Inasikitisha Vilio, Simanzi Vyatanda Msiba wa Masogange

Video: Inasikitisha Vilio, Simanzi Vyatanda Msiba wa Masogange
Familia ya Aliekuwa Video Vixen, Maarufu Agness Gerald Maarufu kama Masogange wamekubaliana na Taratibu zilizopangwa na wasanii kuhusiana na ratiba nzima ya mazishi ya marehemu ambapo zoezi la kuaga mwili wa marehemu litafanyika katika viwanja vya leaders club, na baadae kuusafirisha mwili wa marehemu agnes masogange kuelekea mbeya kwa mazishi.

No comments:

Post a Comment