Video: Hivi Ndivyo Alikiba Ametoa Majibu ya Harusi Yake kwa Kijaluo - Karafuu24 Blog

Breaking

Tuesday, 17 April 2018

Video: Hivi Ndivyo Alikiba Ametoa Majibu ya Harusi Yake kwa Kijaluo

Hivi Ndivyo Alikiba Ametoa Majibu ya Harusi Yake kwa Kijaluo
Staa wa muziki wa Bongo Fleva Ali Kiba amechukua headlines kupitia short video clips katika mtandao wa instagram baada ya kuoneka akizungumza lafudhi ya Kijaluo na wengi kujiuliza je Ali Kiba ataoa upande wa Kenya kutokana na tetesi zinazoendelea mitandaoni kuwa Ali Kiba anakaribia kuoa?
 

No comments:

Post a Comment