Ukweli Kuhusu Kinywaji cha Ali Kiba Mofaya...Kumbe Mmiliki yupo South Afrika - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 30 April 2018

Ukweli Kuhusu Kinywaji cha Ali Kiba Mofaya...Kumbe Mmiliki yupo South Afrika

DJ Sbu Pongezi kwa Ali Kiba kwa kuingia kwenye biashara,iwe ni ya ubalozi au umiliki cha msingi ni kujua umuhimu wa uwekezaji kwenye biashara.

Nimeona watu wakianza kupotosha umma na kuanza kujikweza na kuanza kuponda wengine kwa kusema Ali ndio mmiliki halali na sio balozi wa hicho kinywaji
lakini ni vyema watu hao wakafahamu kuwa MOFAYA ni Kinywaji kinachomilikiwa na Kampuni ya South Africa na wana product mbali mbali za kinywaji hicho ikiwemo Mofaya Premium,Mofaya Carb O,Ultimate....


SOMA NA HII PIA........South African radio DJ, recording artist and television presenter DJ Sbu has created a new energy drink brand called MoFaya.

Writing about the new drink on Facebook, the entertainer said: “#MoFaya to burn & melt all the NONSENSE in these fridges. Skhathele. Finally a local BRAND is here.

“#MoFaya has been 3 years in the making. Making sure we comply with all the health standards & regulations.”

The new energy drink was founded by a team of eight South Africans, with a collective 97 years of working experience, and every can sold will go towards educating a child in the region.

“#MoFaya will take at least 100 students to university/year starting 2016 & create at least 100 entrepreneurs/province per year.” 

No comments:

Post a Comment