UINGEREZA: HATIMAYE MWILI WA LEYLA WAKABIDHIWA KWA FAMILIA – VIDEO - Karafuu24 Blog

Breaking

Saturday, 21 April 2018

UINGEREZA: HATIMAYE MWILI WA LEYLA WAKABIDHIWA KWA FAMILIA – VIDEO

Mwili wa Mtanzania, Leyla Mtumwa, aliyeuawa Uingereza wiki chache zilizopita, umeachiwa huru leo na kukabidhiwa kwa ndugu zake ili kuusafirisha kuurudisha hapa nchini kwa ajili ya mazishi.

Mwili huo wa Leyla ambaye aliuawa baada ya kuchomwa visu na mumewe, Kema Salum, ulikuwa ukishikiliwa na jeshi la polisi nchini Uingereza kwa ajili ya uchunguzi zaidi na baada ya kujiridhisha ndipo wakaukabidhi kwa familia.

VIDEO: FUATILIA TAARIFA HIYO HAPA

No comments:

Post a Comment