TMA yatoa utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo - Karafuu24 Blog

Breaking

Monday, 30 April 2018

TMA yatoa utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo

Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), imewatahadharisha wananchi na wadau wa hali ya hewa uwepo wa vipindi vifupi vya mvua kubwa katika maeneo mbalimbali hapa nchini.
Soma taarifa kamili

No comments:

Post a Comment